Je? Yesu Alizaliwa Desemba 25? Wataalam Waeleza Chimbuko Halisi La Sikukuu Ya Krismasi

  • | TV 47
    28 views

    Je? Yesu Alizaliwa Desemba 25? Wataalam Waeleza Chimbuko Halisi La Sikukuu Ya Krismasi

    Kila tunaposherekea sikukuu ya krismasi, watu wengi wanajiuliza maswali kuhusu chimbuko la sherehe hii ya krismasi ya tarehe 25 desemba katika ukristo.

    Siku hii ina historia ya tangu karne ya tatu ya falme za dunia.

    Mwanahabari wetu Mike Kaguongo alitangamana na wanahistoria na maaskofu wa kanisa kubaini chimbuko halisi la sikukuu hii.

    #UpeoWaTV47 #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __