Wakristo waadhimisha sikukuu ya Krismasi nchini

  • | Citizen TV
    551 views

    Sherehe za Krismasi zilishamiri katika sehemu mbalimbali nchini huku maelfu ya watalii wakimiminika kwenye hoteli, mikahawa na maeneo ya burudani kusheherekea sikukuu na familia zao. Mjini Mombasa fuo za bahari zilifurika huku mbuga ya wanyama ya jiji la Nakuru nayo ikishuhudia ongezeko la watalii. Francis Mtalaki anaangazia krismasi ilivyosherehekewa kwenye kaunti