Rais Ruto akosa kuzungumzia swala la utekaji nyara wa vijana nchini

  • | Citizen TV
    3,700 views

    Haya Yanapoendelea Nchini, Hotuba Ya Rais William Ruto Ya Krismasi Haikuzungumzia Swala La Utekaji Nyara Wa Vijana Nchini, Japo Akawataka Wazazi Kufanya Jukumu Zaidi Katika Kuwaandaa Watoto Kwa Maadili Mema.