Ndugu wawili Jamil na Asmal Longton waelezea masaibu waliopitia baada ya kutekwa nyara na polisi

  • | Citizen TV
    3,696 views

    Kurejea kwa visa vya utekaji nyara wa wakosoaji wa serikali mtandaoni umeibua kumbukumbu za wale waliotekwa nyara wakati wa maandamano ya vijana katikati ya mwaka huu. Ndugu wawili walikuwa miongoni mwa wale waliotekwa nyara na kuzuiliwa kwa kile sasa wanasema ni vyumba vya mateso. Brenda Wanga alikutana na ndugu hawa Jamil na Asmal Longton na kuzungumzia walivyotekwa kwa siku 32