Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja asema polisi hawateki wakenya nyara. Je, nani anahusika?

  • | Citizen TV
    1,894 views

    Idara ya Polisi sasa inasema haihusiki kamwe na visa vya utekaji nyara wa vijana vinavyoripotiwa nchini. Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja akisema polisi hawana ufahamu waliko vijana hao, waliopotea baada ya kuonekana kumkejeli Rais William Ruto. Na kama Brenda Wanga anavyoarifu, maswali yaibuka kuhusu je, ni nani anayehusika na utekaji nyara?