Taifa La Watekaji Nyara? Mahakama Yaibua Wasiwasi Kuhusu Visa Vya Utekaji Nyara

  • | TV 47
    227 views

    Taifa La Watekaji Nyara? Mahakama Yaibua Wasiwasi Kuhusu Visa Vya Utekaji Nyara

    Jaji Mkuu Martha Koome ameibua wasiwasi kuhusu ongezeko la visa vya utekaji nyara nchini na kutaka asasi za usalama kuzingatia sheria.

    Inspekta Jenerali Wa Polisi Douglas Kanja hata hivyo amekanusha madai kwamba maafisa wa polisi wanahusika katika utekaji nyara wa watu wanne mwezi huu wa desemba katika Kaunti Za Nairobi, Embu Na Kajiado.

    #UpeoWaTV47 #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __