Wakazi Murang'a Wageukia Ukulima Wa Mpunga

  • | TV 47
    40 views

    Wakazi Murang'a Wageukia Ukulima Wa Mpunga

    Wakazi wa eneo la Gaturi, Kiharu, Katika Kaunti Ya Murang'a, wamegeukia kilimo cha mpunga ambacho kinajulikana kuendelezwa katika Kaunti Ya Kirinyaga.

    Hata hivyo wamelalamika changamoto za uhaba wa maji ya kufanikisha kilimo na vilevile mimea yao kuharibiwa na konokono jambo ambalo linaathiri uzalishaji.

    #TV47Matukio #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __