Watu wa jamii ya Ateker wakongamana Turkana West

  • | Citizen TV
    684 views

    Jamii ya Waturkana ya ateker inayojumuisha jamii hii kutoka kenya, uganda, ethiopia na sudan kusini, walijumuika kwa kumbukumbu maalum eneo la turkana magharibi. Hafla hii ikiwa ya kumbukumbu ya chimbuko la jamii hii kihistoria.