Sherere za jamii ya Abasuba kisiwani Rusinga zavutia watalii

  • | Citizen TV
    1,035 views

    Sherere za kila mwaka za jamii ya Abasuba maarufu kama Rusinga festival mwaka huu ziliwavutia watalii kutoka mataifa kumi na sita. Jamii hiyo inaitaka serikali kuisaidia kuhifadhi tamaduni yao kama Moja wepo ya njia ya kuimarisha utalii. James latano alihudhuria sherehe hizo na kutuandalia Taarifa hiyo.