Nakuru kupata viwanja viwili vyenye hadhi ya kimataifa hivi karibuni

  • | Citizen TV
    1,496 views

    Kaunti ya Nakuru itajivunia viwanja viwili vya hali ya juu hivi karibuni iwapo ujenzi wa uwanja wa Afraha na uwanja wa Keringet utakamilika kwa wakati ulioratibiwa. Serikali ya kaunti ya Nakuru ina matumaini kuwa ujenzi utakapokamilika, viwanja vya Afraha na wa Keringet vitawafaidi wanariadha na mashabiki wa michezo katika kaunti ya Nakuru. Maryanne nyambura anaarifu zaidi.