177 wafariki katika ajali ya ndege aina ya Boeing 737-800 Muan Korea Kusini

  • | BBC Swahili
    10,605 views
    Takriban watu 177 wamefariki baada ya ndege waliokuwemo kuanguka ilipokuwa ikitua katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini. - Ndege hiyo aina ya Boeing 737-800 - inayoendeshwa na shirika la ndege la Jeju Air - ilikuwa na abiria 175 na wahudumu 6 (181) na ilikuwa ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Muan kutoka Bangkok, Thailand ilipopatwa na matatizo ya injini na kulazimika kutua kwa dharura kwa mujibu wa utawala. - Uchunguzi wa chanzo cha ajali umeanzishwa. #jejuair #ajali #bbcswahili #familia #azerbaijanairlines #azerbaijan #aktau #bbcswahilileo #tanzania #kenya