Wafanyakazi wa BBC wasitisha kuendelea na kazi kisa dubu

  • | BBC Swahili
    547 views
    Tazama wafanyakazi wa BBC walivyositisha kuendelea na kazi baada ya dubu kuwavizia Mwandishi wa BBC alikwenda Churchill, Canada kuchunguza jinsi binadamu wanavyoishi pamoja na dubu, licha ya tishio la mabadiliko tabia nchi na wanyama wanaowinda wanyama wengine. Churchill, hujulikana kama mji mkuu wa dubu duniani ambapo athari za mabadiliko ya tabia nchi imekuwa tishio kwa dubu hao. Fatma Abdalla anaelezea #bbcswahili #canada #dubu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw