Mbunifu wa mavazi anayebuni nguo za ndani za mwani.

  • | BBC Swahili
    666 views
    Mbunifu wa nguo za ndani zilizotengenezwa kwa mwani Alexander Perry amekuja na ubunifu mpya baada ya kumtengenezea mama yake sidiria alipokuwa akijiuguza alipofanyiwa upasuaji wa saratani ya matiti. Anasema kuwa sidiria hiyo ya mwani ilimsaidia mama yake kupunguza usumbufu na kuwa na utulivu Sasa amegeukia aina nyingine ya nguo za ndani. Tazama #bbcswahili #london #mwani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw