Mshambulizi wa New Orleans alivyoingia barabarani kuvamia watu

  • | BBC Swahili
    960 views
    Tazama namna mshambuliaji wa tukio la New Orleans alivyoingia kwenye barabara yenye shughuli nyingi kwa gari na kuvamia watu Dereva huyo alivamia watu waliokuwa wakisherehekea sikukuu ya Mwaka Mpya. #bbcswahili #neworleans #shambulio Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw