Moto wa msituni wazidi kuteketeza vitongoji vya Los Angeles

  • | BBC Swahili
    884 views
    Tazama namna moto wa nyika huko Los Angeles, California unavyoteketeza nyumba. Moto huo umesababisha uhamishaji watu wa lazima huku moshi mzito ukitanda katika eneo hilo. Maafisa wanasema moto huo umeongezeka kutoka ekari 20 hadi zaidi ya ekari 200 katika muda wa dakika 20 baada ya kuripotiwa. #bbcswahili #california #losangeles Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw