Mwalimu Mkuu St. Anne’s Amulikwa Kwa Ukatili Wa Kuwafurusha Wanafunzi Usiku Wa Manane

  • | TV 47
    85 views

    Mwalimu Mkuu St. Anne’s Amulikwa Kwa Ukatili Wa Kuwafurusha Wanafunzi Usiku Wa Manane

    Wazazi, wanaharakati wa haki za kibinadamu na viongozi katika eneobunge la Makadara Kaunti Ya Nairobi, Wanamtaka mwalimu mkuu Veronica Muli wa Shule Ya Upili Ya Wasichana St. Anne's, ajiuzulu au atimuliwe baada ya video ya wanafunzi wa shhule hiyo kusambaa mitandaoni wakiwa wamekita kambi nje ya lango kuu jumanne usiku baada kuzuiliwa kuingia shuleni kwa kukosa kulipa karo kikamilifu.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __