Mapenzi Yageuka Matata: Mwanamke Achomwa Kwa Mafuta Taa Murang'aNa Mpenziwe

  • | TV 47
    19 views

    Mapenzi Yageuka Matata: Mwanamke Achomwa Kwa Mafuta Taa Murang'aNa Mpenziwe

    Mwanamke wa umri wa kati katika Kijiji Cha Maragua Ridge Katika Kaunti Ya Murang'a anapokea matibabu baada ya kujeruhiwa vibaya kwa kuchomwa na mwanaume anayedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye.

    Inadaiwa kuwa mwanaume huyo anayejulikana kama Irungu Muturi, alimmwagilia mafuta taa na kumchoma kabla ya kutoroka na kujificha.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __