Naibu rais Kindiki akiri SHA inakabiliwa na changamoto

  • | Citizen TV
    2,779 views

    Naibu Rais, Profesa Kithure Kindiki, amekiri kuwa mfumo wa bima ya matibabu -SHA- unakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zimechangia wagonjw akukosa huduma na kulazimika kulipa pesa taslimu. akizungumza baada ya kufanya ziara katika hospitali ya rufaa ya kenyatta, kindiki amesema kuwa hali hiyo imechangiwa na kubatilishwa kw amswada wa fedha wa mwaka 2024 ambao ulikuwa utoe ufadhili w akutosha kwa uhamiaji kutoka NHIF hadi SHA.