Waliokuwa wanazuiliwa hospitalini Kiambu waachiliwa

  • | Citizen TV
    1,960 views

    Ni afueni kwa wanawake hamsoni waliokuwa wakizuiliwa kwa kushindwa kulipa bili ya hospitali baada ya Serikali ya kaunti ya Kiambu kutoa kima cha shilingi milioni sita ili kulipa ada hiyo. kina mama hao wamekuwa wakizuiliwa kwenye hospitali ya Thika level 5 kwa miezi minne baada ya kujifungua.