Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena

  • | BBC Swahili
    132,970 views
    #bbcswahili #tanzania #siasa Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe. - Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC @sammyawami. - Sehemu ya pili ya mahojiano haya yatakujia punde... - 🎥: @eagansalla_gifted_sounds @frankmavura na @mtenganicholaus - - - #bbcswahili #tanzania #siasa #chadema #upinzani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw