- 105 viewsUmoja wa mataifa umesema ugonjwa wa HIV na ukimwi unaweza kutokomezwa ifikapo mwaka 2030. Lakini wagonjwa wanatakiwa kufuata mipango yao ya matibabu ili kufuatilia virusi. Michezo inaweza kusaidia. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
HIV na IKIMWI huenda ikatokomezwa ifikapo 2030 | VOA Swahili
- - Duniani Leo ››
- 10 Jan 2025 - South Sudan announced early this week its plan to produce at least 90,000 barrels of crude oil per day as the country resumes normal production.
- 10 Jan 2025 - New York's top court rejected on Thursday Donald Trump's request to halt the president-elect's sentencing for his conviction on criminal charges stemming from hush money paid to a porn star, with a decision on a possible delay now in the hands of the U.…
- 10 Jan 2025 - Developing and maintaining water security and equitable access to water services is essential to ensuring peace and prosperity for all. The assessment is highlighted in the 2024 edition of the United Nations World Water Development Report. Each year,…
- 10 Jan 2025 - China’s decision to build the world’s largest hydropower dam on a river that flows into India and Bangladesh has sparked concerns in both countries over the project’s potential impact on millions living downstream.
- 10 Jan 2025 - Uganda police detained seven protesters on Thursday, including a prominent human rights lawyer, as they rallied against the imprisonment of another lawyer.
- 10 Jan 2025 - School projects worth Sh2.7 billion that were launched by President William Ruto in Nyamira six months ago have stalled after contractors abandoned works over pay. The projects funded by the Kuwait Government were launched by Ruto during his tour of the…
- 10 Jan 2025 - Zimbabwe scraps the death penalty, but Kenya is still undecided
- 10 Jan 2025 - State-owned power producer is currently conducting an environmental impact assessment in the protected area.
- 9 Jan 2025 - Ministers of Agriculture from the AU’s 55-member states, Thursday kicked off a three-day Extraordinary Summit of the African Union (AU) in Uganda’s capital, Kampala. The summit will culminate in th…
- 9 Jan 2025 - Ministers of Agriculture from the AU’s 55-member states, Thursday kicked off a three-day Extraordinary Summit of the African Union (AU) in Uganda’s capital, Kampala. The summit will culminate in th…