Wanafunzi 3,669 Hawajapokea Matokeo Ya KCSE 2024

  • | TV 47
    9 views

    Wanafunzi 3,669 Hawajapokea Matokeo Ya KCSE 2024

    Zaidi ya watahiniwa 3,000 hawajapokea matokeo ya mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne (KCSE) wa mwaka wa 2024.

    Hii ni baada ya wanafunzi hao kupatikana na hatia ya udanganyifu wa mtihani.

    Aidha, wasimamizi wa mtihani 91 waliofanikisha udanganyifu katika mtihani huo wamepewa onyo kali

    #UpeoWaTV47 #KCSE2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __