Shule zilizobobea zapokea matokeo kwa vifijo

  • | Citizen TV
    2,695 views

    Matokeo ya mtihani wa kcse mwaka wa 2024 yalipokelewa kwa shangwe na nderemo katika shule mbalimbali ambazo ziliandikisha matokeo mema. Sherehe hizo pia zilifika katika maboma tofauti, wanafunzi waliozoa alama za kuridhisha wakisakata ngoma za furaha. Wanafunzi 1,693 walizoa alama ya a kwenye mtihani huo uliotangazwa mapema leo.