Wadau wa elimu Samburu wapongeza watahiniwa wote

  • | Citizen TV
    100 views

    Walimu Na Wanafunzi Wanapoendelea Kushabikia Matokeo Ya Mtihani Wa Kitaifa Wa Kidato Cha Nne Wa Kcse Wa Mwaka 2024,Wadau Wa Elimu Katika Kaunti Ya Samburu Wamesisitiza Haja Ya Kuwapa Nafasi Wanafunzi Ambao Wamekosa Kupata Alama Ya Kujiunga Na Vyuo Vikuu Kuendeleza Elimu Yao Katika Vyuo Vya Mafunzo Anuai