Washikadau wa elimu wairai serikali kuwafadhili wanafunzi waliofanya vyema Katika mtihani wa KCSE

  • | Citizen TV
    151 views

    Washikadau wa elimu pamoja na Wazazi kutoka eneo la magarini kaunti ya kilifi wameirai serikali kuwafadhili wanafunzi waliofanya vyema Katika mtihani wa kcse hasa wale wanatokea Katika familia maskini.