Shule mbalimbali nchini zasherekea matokeo bora ya KCSE 2024

  • | Citizen TV
    1,691 views

    Sherehe za matokeo ya mtihani wa KCSE 2024 zinaendelea katikà shule mbalimbali nchini, licha ya hitilafu ya muda katika tovuti ya baraza la mtihani KNEC, ambapo baadhi ya matokeo yalicheleshwa. CHRISPINE OTIENO anatujengea taswira ya jinsi mambo yalivyokuwa katika shule mbalimbali nchini.