Shule ya upili ya wavulana ya Shimo la Tewa yaandaa maombi ya kusherekea matokeo bora ya KCSE 2024

  • | Citizen TV
    298 views

    Shule Ya Upili Ya Wavulana Ya Shimo La Tewa Imeandaa Maombi Maalum Kusheherekea Matokeo Bora. Shule Hiyo Ni Baadhi Ya Shule Zilizofanya Vyema Mwaka Huu Pwani. Kulingana Na Mwalimu Mkuu Mathew Mutiso Hafla Hiyo Ni Ya Kuwapa Motisha Watahiniwa Wa Mwaka Huu Kufanya Vizuri Zaidi.