Mabalozi wateule wapigwa msasa na kamati ya bunge

  • | Citizen TV
    330 views

    Kamati ya bunge ya ulinzi, ujasusi na masuala ya kigeni inawapiga msasa mabalozi wateule kabla ya kuidhinishwa na kutumwa katika mataifa mbalimbali. wanaohojiwa ni Margaret Nyambura Ndung’u aliyeteuliwa kwenda Ghana , Andrew Karanja anayetumwa brazil, Ababu Namwamba atayaewakilisha kenya UNEP, na Noor Gabow anayetarajiwa kwenda Haiti.