Je ni kwanini nyani jike huvutiwa kimapenzi na nyani dume wenye pua kubwa

  • | BBC Swahili
    278 views
    Nyani wenye pua kubwa ni moja ya nyani wanaotambulika zaidi duniani. Aina hii ya Nyani jike hupenda nyani wenye pua kubwa ambayo inakuwa na hadi urefu wa 17cm (6.5in) na sababu kubwa ni kuwa huvutia kimapenzi. #bbcswahili #wanyama #utafiti Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw