Majambazi wavunja maduka mjini Busia

  • | Citizen TV
    1,057 views

    Wafanyabiashara katika kaunti ya mpakani ya Busia wanahofia usalama wao na biashara zao kutokana na ongezeko wa visa vya wizi huku wakiilaumu idara ya usalama kwa kutowajibika.