Virusi vya metapneumovirus (HMPV) ni nini?

  • | BBC Swahili
    282 views
    Mamlaka za China zimeripoti kuongezeka kwa visa vya homa ya mafua ya metapneumovirus (HMPV). Je, virusi hivi vina tofauti gani na Covid-19, na vinaweza kusababisha janga linalofuata? Bosha Nyanje anaelezea #bbcswahili #china #HMPV Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw