Mji mkuu wa mamba Australia

  • | BBC Swahili
    172 views
    Eneo la Kaskazini la Australia lina idadi kubwa zaidi ya mamba wa maji ya chumvi porini wanaoishi katika makazi yao ya asili, bila kufungiwa au kufugwa. Na hii ni baada ya miaka mingi ya uhifadhi. Hata hivyo, mjadala kuhusu kuwaondoa mamba hao umeibuka tena kufuatia tukio la kwanza la kifo lililotokea 2024 ikiwa ni mara ya kwangu tangu lilipotokea tukio lililopita 2018. #bbcswahili #australia #mazingira Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw