Watu-4 wafariki kwenye ajali barabara ya Londiani-Muhuroni

  • | KBC Video
    85 views

    Watu wanne walifariki na wengine 15 kujeruhiwa leo asubuhi katika eneo la Kapchelanga katika barabara ya Londiani-Muhuroni. Ajali hiyo ilitokea wakati basi la Dreamline lililokuwa likielekea Busia lilipopoteza mwelekeo na kutumbukia kwenye mtaro.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive