Wafanyabiashara Spring Valley walalamikia ubomoaji na ujenzi wa vibanda vipya

  • | NTV Video
    522 views

    Wafanyibiashara katika eneo la Spring Valley hapa Nairobi wamelalamikia kuhusu ubomozi wa biashara zao na watu wanaodaiwa kutoka serikali ya kaunti na kujenga vibanda vipya bila kuhusishwa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya