Shabana yashinda Tusker 2-1 na kupanda nafasi ya tano

  • | NTV Video
    357 views

    Shabana imeishinda Tusker mabao 2 kwa 1 uwanjani Gusii na kupanda hadi nafasi ya tano katika msimamo wa Ligi kuu ya kandanda humu nchini. Wakati huohuo Posta Rangers inayovuta mkia iliishinda Nairobi City Stars mabao 2 kwa 1 ugani Kenyatta kaunti ya Machakos.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya