Mwalimu kutoka Malindi ni miongoni mwa waliofariki kwenye ajali ya ndege

  • | KBC Video
    3,432 views

    Hebu tafakari kuponea kifo kwa tundu la sindano katika ajali ya kutisha ya barabarani kisha baadaye kukutana na malaika mwovu wa mauti katika ajali ya ndege japo hujawahi kupata fursa ya kuiabiri maishani. Edward Kabasa anatuletea simulizi tamaushi ya marehemu Naomi Nyiro, mmoja wa waathiriwa wa mkasa wa ndege kwenye barabara kuu ya Mombasa Malindi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive