Mwili unaoaminika kuwa wa Lydia Tokesi, msichana aliyotoweka wapatikana katika msituni Ongata Rongai

  • | Citizen TV
    8,690 views

    Familia Ya Lydia Tokesi, Msichana Wa Miaka 29 Aliyekuwa Akitafutwa Inahofia Huenda Msichana Huyo Ameuawa. Mwili Unaominika Kuwa Wa Lydia Ulipatikana Umetupwa Kwenye Msitu Huko Ongata Rongai Kaunti Ya Kajiado Ukiwa Hauna Baadhi Ya Sehemu Za Mwili. Na Kama Anavyoarifu Franklin Wallah, Polisi Wamepata Vitu Vinavyoamikia Kuwa Vya Lydia Mwili Wake Ulikopatikana.