Wakulima kutoka Nessuite, Nakuru wataka mbolea karibu

  • | Citizen TV
    143 views

    Wakulima kutoka eneo la Nessuite, eneo Bunge la Njoro, Katika kaunti ya Nakuru, sasa wanaitaka serikali ya Kaunti hiyo kuhakikisha kuwa wamepata mbolea ya ruzuku na mbegu kwa wakati ufaao kabla ya msimu wa upanzi. Wakulima hao wameitaka Kaunti hiyo kuweka maghala ya kupokea mbolea katika eneo hilo ili kuwapunguzia wakulima safari ya kuwawezesha kupata pembejeo kw aurahisi. Evans Asiba anazungumza na wakulima mubashara kutoka Kaunti ya Nakuru.