Seneta Orwoba Apendekeza Fedha Kutengewa Vitengo Korti Kupiga Jeki Vita Dhidi Ya Dhuluma Za Kijinsia

  • | TV 47
    36 views

    Seneta Orwoba Apendekeza Fedha Kutengewa Vitengo Korti Kupiga Jeki Vita Dhidi Ya Dhuluma Za Kijinsia

    Seneta Maalum Gloria Orwoba ametoa pendekezo la utumiaji wa milioni mia moja zilizotolewa na Rais Ruto katika juhudi za kupambana na dhulumu za kijinsia na mauaji ya kiholela ya wanawake.

    Seneta Orwoba akizungumza na wanahabari jijini Nairobi amesema kuwa fedha hizo zinafaa kutumika katika kuanzisha na kupiga jeki mahakama katika kukabiliana na wahusika wa visa hivyo na kutatua kesi za dhuluma za kijinsia.

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __