Mahakama Ya Juu Yaamuru Kanja Na Amin Kufika Mahakamani Ijumaa

  • | TV 47
    411 views

    Mahakama Ya Juu Yaamuru Kanja Na Amin Kufika Mahakamani Ijumaa

    Mahakama Kuu imeamuru Inspekta Mkuu Wa Polisi Douglas Kanja na Mkurugenzi Wa Idara Ya Upelelezi Wa Jinai Mohamed Amin kuwaachilia mara moja watu watatu waliotekwa nyara huko mulolongo akiwataka wawili hawa kufika kortini kibinafsi mnamo ijumaa saa nne asubuhi bila kukosa.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __