Rais wa shirika la Rotary duniani azuru Kenya

  • | Citizen TV
    487 views

    Rais wa shirika la Rotary duniani Stephanie Urchick amezuru Kenya kusherehekea miaka mia moja tangu shirika hilo lilipoanza kutoa msaada wa kuboresh huduma za afya kwa kina mama wajawazito na watoto nchini pamoja na mataifa mengine mannne barani Afrika.