Mapepo ya utekaji nyara | Mhariri raia wa Tanzania asimulia yaliyomfika

  • | Citizen TV
    2,438 views

    Mwanaharakati na mhariri wa runinga ya kibinafsi ya mwanzo TV ya Tanzania, Maria Sarungi Tsehai aliyetekwa nyara siku ya Jumapili katika barabara ya Argwings Kodhek hapa jijini nairobi na baadaye kuachiliwa, anasimulia masaibu yake kwa mara ya kwanza