Mwanamume wa miaka 54 auawa na ndovu huko Nyahururu

  • | KBC Video
    135 views

    Wakazi wa kijiji cha Kauka-Silale huko Nyahururu kaunti ya Laikipia waliandamana barabarani kulalamikia kifo cha mwanamume mmoja wa umri wa miaka 54 anayesemekana kushambuliwa na ndovu. Wakazi hao waliojawa na ghadhabu wanaitaka serikali ikamilishe uwekaji ua kuzingira msitu wa Marmanet kusini. Ndovu huyo anasemekana kutoka kwenye msitu huo na kumshambulia mwathiriwa, hali iliyosababisha kifo chake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive