Methali I Mkalia kigoda mtii

  • | KBC Video
    3 views

    METHALI YA SIKU: MKALIA KIGODA MTII

    Maana yake: Maana ya methali hii ni kwamba, tunastahili kuwaheshimu wazee wetu. Kutokana na kuwa na ufahamu kuhusu elimu ya maisha kuliko sisi, hawakosi jambo jema la kutushauri.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive