Wagonjwa Homabay watatizika kupata matibabu kufuatia mgomo wa wauguzi mgomo

  • | KBC Video
    8 views

    Wagonjwa katika hospitali ya matibabu maalum ya kaunti ya Homa Bay wameelezea mahangaiko yao kutokana na ukosefu wa huduma baada ya wauguzi katika kaunti hiyo kuanzisha mgomo ulioitishwa na chama cha wauguzi cha KNUN. Wakati uo huo huduma katika vituo vya afya hapa nchini huenda zikaathiriwa hata zaidi ikiwa matabibu watatimiza tishio lao la kugoma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive