Wahudumu wa matatu wapinga ushuru wa juu katika kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    132 views

    Sheria ya Fedha ya kaunti ya Migori ya mwaka wa 2024/2025 ambayo tayari imeanza kutekelezwa inaendelea kuibua hisia tofauti kutoka kwa baadhi ya wafanyabiashara.