Wakulima waitaka serikali kuimarisha usalama eneo bunge la Lari kuzuia wizi wa maparachichi

  • | Citizen TV
    126 views

    Wakulima katika kijiji cha Nyanduma eneo bunge la Lari wannawataka maafisa wa polisi na serikali ya mtaa kuongeza doria za usiku katika eneo lao ili kuzuia wizi wa maparachichi.