Kesi Ya Mtoto Pendo Yaahirishwa Baada Ya Kungoja Miaka 7

  • | TV 47
    58 views

    Kesi Ya Mtoto Pendo Yaahirishwa Baada Ya Kungoja Miaka 7

    Kwa mara nyingine tena, kusikizwa kwa kesi ya mtoto Samantha Pendo, kumeahirishwa. Leo polisi kumi na wawili wanaodaiwa kuvamia makazi ya wazazi wake miaka saba iliyopita, walitarajiwa kuyajibu mashtaka kuhusu mauaji ya mtoto huyo ila hilo halikufanyika.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __