Serikali yakata rufaa kuhusu mfumo mpya wa ufadhili wavyuo vikuu

  • | Citizen TV
    135 views

    Mmalaka ya ufadhili wa vyuo vikuu na bodi ya mikopo kwa wanafunzi vyuoni zimewasilisha rufaa kupinga uamuzi wa mahakama ulioharamisha mfumo mpya wa ufadhili wa vyuo na wanafunzi wa vyuo vikuu. walalamishi wanasema kuwa uamuzi wa jaji Chacha mwita umesababisha kucheleweshwa kwa pesa zinazofaa kuwasaidia wanafunzi wa mwaka wa kwanza na wa pili kulipa karo vyuoni na kuweka vyuo kwenye hatari ya kufungwa.