Tahadhari ya Virusi | Watu 8 kati ya 9 wafariki nchi jirani ya Tanzania

  • | Citizen TV
    397 views

    Mkurugenzi mkuu wa Wizara ya Afya Daktari Patrick Amoth ametoa tahadhari kuhusu virusi vya ugonjwa wa Marbug uliogunduliwa katika taifa jirani la Tanzania.